Home Uncategorized Mwanafunzi aliyejinyonga aagwa, wenzie wasimulia mazito.

Mwanafunzi aliyejinyonga aagwa, wenzie wasimulia mazito.

2
0



Leo May 12, 2018 Luciana Olutu alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo cha Makumira Arusha na amefariki dunia May 7 mwaka huu baada yakujinyonga kwa kile kinachodaiwa ni msongo wa mawazo baada ya mtoto wake kufariki.

Wanafunzi ambao wamesoma naye wameelzea jinsi Marehemu Luciana alivyojaribu kujiua zaidi ya mara mbili na kilichoandikwa katika barau.

VIDEO:





Source:Millard 
Previous articleHii imekaaje? Alikiba Amfananisha Diamond na “……….”
Next articleMwanaume Ajiua Kisa ‘Bili Kubwa’ ya Umeme.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here