Home Uncategorized Nandy: Nilizimia Baada ya Kuambiwa Video yangu ya Kitandani Inasambaa Mitandaoni.

Nandy: Nilizimia Baada ya Kuambiwa Video yangu ya Kitandani Inasambaa Mitandaoni.

2
0


“Kiukweli nilistushwa na simu nilizokuwa napigiwa, sikujua ni kitu gani lakini baadae nilipojua ukweli, nilizimia kwa mujibu wa meneja, lakini mimi sikujua kama nilizimia, nilichanganyikiwa sana, hadi sasa sijajua ni nani aliisambaza ile video na alikuwa na nia gani” Nandy 


Ukikutana leo hii na Nandy utapenda kumwambia nini au kumshuri nini?
Previous articleAunt Ezekiel kuvaa hivi mbele ya mtoto mdogo ni ujanja ama ushamba?.
Next articleSir Alex Ferguson afanyiwa upasuaji kwenye ubongo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here