Home Uncategorized Hamisa Mobetto ‘Wema Sepetu Anaroho Nzuri Sana, Siku Shangaa Alivyobariki Diamond Anioe.

Hamisa Mobetto ‘Wema Sepetu Anaroho Nzuri Sana, Siku Shangaa Alivyobariki Diamond Anioe.

2
0

Mrembo Hamisa Mobetto amehojiwa na Wasafi TV kuhusu kauli ya Wema Sepetu ya Kubariki Diamond Kumuoa na amefunguka hivi

“Ni Kitu ambacho kutoka kwa Dada Wema is not a suprise coz unajua nini Dada Wema ana roho safi hawezi kusema kitu ambacho hamanishi coz namjua alivyo na hana tatizo na couple yetu ni kama ametupa baraka” Hamisa

Previous articleWema Sepetu Abariki Diamond, Mobetto Kufunga Ndoa.
Next articleFisi Avamia Wapenzi na Kuua Mmoja……Mwingine Kajeruhiwa Vibaya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here