Home Uncategorized Kwangwaru ya Harmonize Yakimbiza Chati za BBC Radio.

Kwangwaru ya Harmonize Yakimbiza Chati za BBC Radio.

2
0

Kwangwaru ya Harmonize Yakimbiza Chati za BBC Radio

Harmonize amefanikiwa kuingiza ngoma yake ya Kwa Ngwaru kwenye Top 5 za Afro Boss Airline DNA za kipindi cha Destination Africa kinachoendeshwa na DJ Edu kupitia BBC Radio One Xtra.

Wimbo huo umefanikiwa kushika namba mbili kwenye chati hizo wakati namba moja ikishikiliwa na Davido kupitia wimbo wake mpya wa Assurance.

Wiki iliyopita wimbo huo ulishika namba tano kwenye chati hizo.

Wasanii wengine walioingia kwenye chati hizo ni Shado Chris (Kitadi), Bils na Giggz (Loudah) na Da Capo (Take It All). 

Previous articlePenzi la Davido,Chioma Lazidi Kushika Kasi ni Bata tu.
Next articleMafuta ya Kula Yaanza Kuhadimika Viwanda Vyasitisha Uzalishaji.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here