Home Uncategorized Huu hapa Msimao wa ligi,Simba inahitaji pointi tano tu kuwa bingwa.

Huu hapa Msimao wa ligi,Simba inahitaji pointi tano tu kuwa bingwa.

2
0

Baada ya mchezo wa leo wa Kariakoo Derby Simba inajichimbia kileleni kwa kufikisha pointi 62 baada ya michezo 26. Yanga wapo katika nafasi ya 3 wakiwa na pointi 48 lakini wanamichezo miwili mkononi (viporo). Sasa Simba inahitaji pointi 5 kutawazwa mabingwa wa VPL 2017/18.


Previous articleUshirikina mechi ya simba na yanga:VITU VYA KISHIRIKINA VYAKUTWA UWANJA WA TAIFA,TAZAMA VIDEO.
Next articleSerengeti Boys Watwaa Taji la CECAFA 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here