Home Uncategorized MSANII Harmonize ” Bora Ningesikia Mbosso Ndio Anatembea na Sarah ila huyu...

MSANII Harmonize ” Bora Ningesikia Mbosso Ndio Anatembea na Sarah ila huyu Mwarabu Fighter Naanzia Wapi Hata Kumuuliza?”.

2
0



MSANII Harmonize amefunguka kumwogopa Mwarabu Fighter Baada ya kuenea Udaku kuwa Baunsa huyo wa Diamond anatoka kwa siri na Girlfriend wake kwa siri
_
Regrann from @harmonize_tz – Mara 10 ningesikia @mbosso_ anakula mzigo ningemsubiri pale @thelifeclub_1 tarehe 13/5/ na #kipanga yani ile anaingia tuu….!!! nikamuulia hapo hapo sasa mtu kama huyu hivi unaanzaje hata kumuuliza mana hata kucheka kwenyewe kwa msimu jamani Mungu huyu daah…..!! 😓😓
Previous articleFREEMAN Mbowe ‘Imeniwia Vigumu Sana Kumpa Pole Mbunge Heche Kwa Kifo cha Mdogo Wake’.
Next articleFaiza Anasa Mimba Nyingine Amwaga Chozi Hadharani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here