Home Uncategorized Rais Magufuli Amteua Athumani Mbuttuka Kuwa Msajili wa Hazina

Rais Magufuli Amteua Athumani Mbuttuka Kuwa Msajili wa Hazina

2
0

Rais Magufuli Amteua Athumani Mbuttuka Kuwa Msajili wa Hazina



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Athumani Selemani Mbuttuka  kuwa wa Msajili wa Hazina.

Taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa uteuzi wa. Mbuttuka utaanza  Juni 6, 2018.

Aidha, kabla ya uteuzi huo, Mbuttuka alikuwa Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Taifa (DAG) katika Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali  (NAOT).

Mbuttuka anachukua nafasi ya Dkt. Oswald Mashindano ambaye tayari amekwisha staaafu.

Previous articleBoyfrend Wangu Kanikataza Kumzungumzia Bill Nass- Nandy
Next articleAliyejitosa kwa Zari Afunguka ‘Tunajua Huwezi Kurudiana na Diamond’

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here