Home Uncategorized Taharuki Mbeya.. Jeneza lakutwa halina mwili.

Taharuki Mbeya.. Jeneza lakutwa halina mwili.

2
0

Wakazi wa eneo LA Iwambi lililopo Jijini Mbeya wamekumbwa na Taharuki baada ya jeneza kukutwa eneo la makaburi ya Iwambi Hulu likiwa halina mwili Japo ndani yake limekutwa limepakwa damu pamoja na dawa za kienyeji zikiwa zimehifadhiwa Ndani ya jeneza hilo.

Previous articleStaili ya Ushangiliaji ya Haji Manara ya Ushangiliaji Yamtokea Puani Apewa Onyo Kali na Kamati ya Ulinzi.
Next articleVideo | Nandy–Ninogeshe

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here