Home Uncategorized Nipo Bize na Maandalizi ya Kumpokea Wifi Yangu Zari- Esma

Nipo Bize na Maandalizi ya Kumpokea Wifi Yangu Zari- Esma

2
0

po Bize na Maandalizi ya Kumpokea Wifi Yangu Zari- Esma



DADA wa staa wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnamuz’, Esma Khan ‘Esma Platnumz’ amefunguka kuwa, mwezi huu wote yupo bize kumsubiri mzazi mwenza wa kaka yake huyo ambaye ni wifi yake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

Akizungumza na na Over Ze Weekend, Esma alisema kuwa, hawezi kuielezea furaha aliyonayo juu ya kurejea tena kwa Zari ambaye walikuwa hawajamuona kwa muda mrefu kutokana na matatizo ya hapa na pale na kaka yake huyo.

“Sijui nisemeje, yaani Madale (Tegeta, Dar, nyumbani kwa Diamond) anasubiriwa ndege tausi (Zari) aingie na hapa nipo bize na maandalizi ya kumpokea wifi yangu maana siyo kwa kummisi huku. Yaani natamani sana Sikukuu ya Idd tule pilau naye,” alisema. 

Previous articleAudio | Mbosso–Nadekezwa
Next articlePolisi Yakanusha Kuhusu Taarifa za Muuguzi Kuuliwa na Askari

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here