Home Uncategorized Nilimfumania Mwanamke Wangu na Jamaa Mwingine Kitandani,Nikamsamehe..Baada ya Mwezi Ananiambia Ana Mimba...

Nilimfumania Mwanamke Wangu na Jamaa Mwingine Kitandani,Nikamsamehe..Baada ya Mwezi Ananiambia Ana Mimba yangu.

2
0



Nilimfumania mwanamke wangu na jamaa mwingine chumbani kwetu kitandani kwetu. Nilimwacha kwa muda lakini alirudi na kuniomba msamaha tukarudiana. Ila sasa ananiambia ni mjamzito alivyoniambia tu ni mjamzito hasira zimenirudi. Sijui ni ujauzito wangu au sio. Na pia sina uhakika kama ameshaachana na yule jamaa niliyemfumania nae ama la.

Naombeni ushauri.

Previous articleJini Mahaba Linavyonitesa Linaniingilia Mpaka Kinyume na Maumbile..Msaada.
Next articleSina Hamu na Mwanamke Yoyote Hata Awe Mzuri Kiasi Gani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here